Zanzibar: Amani Karume ajivunia na mafanikio Visiwani | Matukio ya Afrika | DW | 14.11.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Zanzibar: Amani Karume ajivunia na mafanikio Visiwani

Rais wa zamani wa Zanzibar ambaye amemaliza muda wake kama makamu mwenyekiti wa chama tawala nchini CCM hapo jana (13.11.2012) Amani Abeid Karume amejivunia mafanikio aliyosimamia visiwani humo wakati wa utawala wake.

Rais wa zamani wa Zanzibar, Amani Karume

Rais wa zamani wa Zanzibar, Amani Karume

Akizungumza na Aboubakary Liongo muda mfupi kabla ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa chama hicho cha CCM mjini Dodoma jana, Amani Karume amesema kuwa serikali ya umoja wa kitaifa na hali ya amani iliyokuwepo ni vitu anavyojivunia.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Amina Abubakar

Mhariri: Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada