1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zamu yako...

7 Januari 2010

Noa Bongo haitaki tu kuzungumza na wewe – tunataka nawe uzungumze. Kwa hiyo, tutafurahi kupata mawazo yako kuhusiana na vipindi hivi.

https://p.dw.com/p/EjYh
Tuandikie barua pepe, ujumbe mfupi kupitia simu ya mkononi au barua.Picha: Das Fotoarchiv

Iwapo unataka kusifu ama kukosoa vipindi vyetu, ama huenda unahisi tumeacha mada muhimu, chochote kile unachotaka kusema, tunataka kukisikia. Jisikie huru kutuandikia pamoja na uzoefu wako binafsi katika mada yeyote ambayo tunaizungumzia katika vipindi vyetu. Tafadhali tufahamishe. Tuandikie barua pepe: kiswahili@dw.de. Unaweza pia kutupigia simu: +49-228-429-4148. Au uwe mfuasi wa ukurasa wetu wa facebook: https://www.facebook.com/dw.kiswahili. Tunasubiri kwa hamu kubwa maoni yako.