1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zambia inapofunga mpaka wa Tunduma.

Sudi Mnette
13 Mei 2020

Katika makala haya ya Kinagaubaga, Sudi Mnette amezungumza na mbunge wa Tunduma kusini mwa Tanzania, Frank Mwakajoka anayetokea chama kikuu cha upinzani nchini humo, CHADEMA, kuhusiana na hatua ya Zambia ya kufunga mpaka na Tanzania ulioko eneo hilo. Ni mengi wamejadili, ingia hapa usikilize.

https://p.dw.com/p/3c9cN