1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

Zainab Aziz

20 Aprili 2017

Mfahamu Zainab Aziz, mhariri na mtangazaji wa DW Kiswahili

https://p.dw.com/p/2bczK
Zainab Aziz
Picha: DW/L. Richardson
  1. Nchi ninayotokea: Kenya
  2. Mwaka nilipojiunga na DW: 2004
  3. Nilivyojiunga na DW: Nilitokea Shirika la Utangazaji Kenya KBC
  4. Kwa nini niliamua kuwa mwandishi wa habari: Naipenda kazi hii
  5. Vigezo mtu anavyotakiwa kuwa navyo kuwa mwandishi wa habari: Awali ya yote elimu nzuri, subira na kuwa na moyo wa kujitolea
  6. Changamoto ninazokutana nazo kwenye maisha yangu ya kazi: Kupata mahojiano kwa ajili ya matangazo kutokana na muda
  7. Tukio la kihistoria ambalo sitalisahau: Pale aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Ujerumani, Horst Köhle, alipotembelea DW mwaka 2006 na nikapata fursa ya kumwimbia na kupiga naye picha
  8. Mtu ambaye ningependa kumhoji: Mke wa Rais wa Tanzania, Janet Magufuli