1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NEC yasafisha Daftari la Wapiga Kura

Isaac Gamba25 Septemba 2015

Tume ya Uchaguzi Tanzania (NEC) inasema uboreshaji wa daftrari la kudumu la wapiga kura inakwenda vyema na wapigakura walioondolewa kutokana na kujiandikisha zaidi ya mara moja hawataathiri uchaguzi.

https://p.dw.com/p/1GdfW
Mlinzi wa masanduku ya kura na masanduku yake nchini Tanzania.
Mlinzi wa masanduku ya kura na masanduku yake nchini Tanzania.Picha: AP

Uchaguzi mkuu unafanyika tarehe 25 Oktoba na mwamko wa safari hii miongoni mwa wananchi ni mkubwa kabisa kuwahi kushuhudiwa tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. Msikilize mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Damian Lubuva, akizungumza na Isaac Gamba.

Mwandishi: Isaac Gamba
Mhariri: Saumu Yusuf

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi