1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zahma ya kisiasa Ujerumani kufuatia mpango wa Merkel kuachia ngazi

Oumilkheir Hamidou1 Novemba 2018

Baada ya kansela wa Ujerumani kutangaza mpango wa kuachia ngazi, siasa zimepamba moto hasa za kutaka kumrithi. Wakati huo huo uamuzi wa Merkel wa kuacha ngazi pia umekabiliwa na ukosoaji kutoka kwa baadhi ya wachambuzi. Makala ya Sura ya Ujerumani inaangazia zahma inayokumba Ujerumani. Mtayarishaji na msimulizi ni Oumilkheir

https://p.dw.com/p/37VTA