1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yerevan. Uwanja wa ndege wa Macedonia wabadilishwa jina.

30 Desemba 2006
https://p.dw.com/p/CCfB
Barafu kwenye mlima wa Kilimandjaro
Barafu kwenye mlima wa KilimandjaroPicha: Das Fotoarchiv

Macedonia imeamua rasmi kuuita uwanja wake mkuu wa ndege kwa jina la Alexander the Great licha ya malalamiko makali kutoka Ugiriki. Maafisa wa Ugiriki wanasisitiza kuwa Macedonia haina uhusiano wa kitamaduni na mfalme huyo shujaa wa karne ya 4.

Hapo kabla Ugiriki imezuwia juhudi za jimbo hilo la zamani la Yugoslavia kupata kutambuliwa kimataifa kwa jina la Macedonia. Jina hilo pia linatumika na jimbo la kaskazini ya Ugiriki ambalo lilikuwa makao makuu ya mfalme huyo Alexander the Great.