Yennenga: Mhenga wa watu wa Mossi Burkina Faso | Asili ya Afrika | DW | 14.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Asili ya Afrika

Yennenga: Mhenga wa watu wa Mossi Burkina Faso

Yennenga hakuwa bintimfalme wa kawaida, alikuwa ni shujaa wa kivita na mwenye uzowefu mzuri wa kuendesha farasi. Ujasiri wake umechangia pakubwa katika kujenga utambulisho wa Burkina Faso.

Tazama vidio 02:11