Yasiyo sahaulika katika ufunguzi wa mashindano ya Olimpiki | Mada zote | DW | 19.07.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Yasiyo sahaulika katika ufunguzi wa mashindano ya Olimpiki

Bendelea ya Olimpik inaashiria amani baada ya Vita Vya I Dunia, wakati mwenge wa Heroshima ulipowashwa mjini Tokyo 1964. Hafla ya ufunguzi imejikita zaidi katika historia ya kisisa na mwamko zaidi.