YANGON:Wapinzani zaidi watiwa ndani Mynmar07.10.20077 Oktoba 2007https://p.dw.com/p/C7HpMatangazoLicha ya miito iliyotolewa na jumuiya ya kimataifa utawala wa kijeshi nchini Mynmar unaendelea kuwakamata wapinzani wanaopigania demokrasia .Habari zinasema wapinzani wengine karibu 80 wametiwa ndani .nchini humo.