1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yaliyojiri kwa Juma zima barani Afrika

Saumu Mwasimba
28 Novemba 2022

Kizungumkuti cha makubaliano ya kuweka chini silaha huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo pamoja na tafsri ya kauli ya Rais wa Tanzania kuhusu hatua za kisheria ni miongoni mwa mambo yenye nafasi kubwa katika majumuisho muhimu ya mwishoni mwa juma kwa DW. Zaidi msikilize Saumu Mwasimba.

https://p.dw.com/p/4KAwO