WINDHOEK:China na Namibia zajenga uhusiano wa kiuchumi | Habari za Ulimwengu | DW | 06.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

WINDHOEK:China na Namibia zajenga uhusiano wa kiuchumi

China na Namibia zimefikia mapatano juu ya kujenga uhusiano wa kiuchumi baina yao na kuimarisha sekta ya utalii.

Mapatano hayo yametiwa saini mjini Windhoek baina ya rais HU JINTAO wa China na wenyeji wake.China pia imeahidi kuisaidia Namibia katika ujenzi wa shule.

Rais HU JINTAO wa China ameshazitembelea nchi kadhaa za Afrika kwa lengo la kujenga uhusiano wa kiuchumi.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com