Wieso nicht? | Wieso nicht? | DW | 29.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Wieso nicht?

Wieso nicht?

Somo la lugha moja la Wieso nicht? linajumuisha mkusanyiko wa mandhari za kuvutia katika maisha ya kila siku katika Ujerumani, Austria na Uswisi. Somo hili linajumuisha mifano 20 ya kusikiliza inayohusu matatizo ya kimapenzi, ziara kwenda kwa daktari wa meno, watu wanaoishi nyumba moja na pia kwenda kwenye maduka makubwa. Somo hili lililotayarishwa kwa ushirikiano wa Taasisi ya Goethe, linashughulikia kiwango cha B1 cha Tathmini ya Ulaya ya Ujuzi wa Lugha na linawalenga wanafunzi wa kiwango cha juu. Somo la Wieso nicht? litakusaidia kuimarisha na kuendeleza ujuzi ulio nao wa Kijerumani.