Wieso nicht? | Kujifunza Kijerumani | Podcasting & Feeds | DW | 18.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Podcasting & Feeds

Wieso nicht? | Kujifunza Kijerumani

Kijerumani: Masuala ya uhusiano, daktari wa meno, matatizo ya kuishi pamoja na ununuzi. Makala ishirini za sauti za kukufaa katika maisha ya kila siku. Masomo haya yananuiwa kupanua ufahamu wa Kijerumani chako.

Jifunze kijerumani cha kila siku kwa Wieso nicht?

Jifunze kijerumani cha kila siku kwa Wieso nicht?

Unaweza kutumia vielelezo hivi vya sauti kama sehemu ya mtalaa wako binafsi. Jisajili hapa upate mfululizo wote wa Wieso nicht?.

DW inapendekeza

Viungo vya WWW