1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wewe na 'BFF' wako

Sylvia Mwehozi11 Julai 2018

Urafiki ni jambo zuri sana, hatujui tungekuwa wapi kama tusingekuwa na marafiki. Kama mlikutana shuleni au mmejuana kwa mwaka mmoja, rafiki yako wa karibu utamfahamu kwa sababu kuna vitu muhimu ambavyo vinawaunganisha. Ni mambo gani ambayo yanawaunganisha, mambo gani yanaweza kuvuruga urafiki wenu? Karibu katika Vijana Mchakamchaka na Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/31Hek