Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Korea | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 21.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Korea

SEOUL:

Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Franz Josef Jung leo alizuru eneo linalokatazwa mapigano linalogawa Korea ya kusini kutoka ile ya kaskazini.Baadae aliruka kurejea Ujerumani baada ya kumaliza ziara yake ya Asia ilioingiza China na Japan.

Alipokuwa mpakani kati ya korea hizo mbili, Bw.Jung alisema imemkumbusha hali ilivyokua nchini Ujerumani kabla nchi mbili za Ujerumani-mashariki na magharibi kuungana.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com