Waziri wa mazingira Ujerumani ziarani Afrika | Matukio ya Afrika | DW | 27.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Mazingira

Waziri wa mazingira Ujerumani ziarani Afrika

Waziri wa mazingira wa Ujerumani Barbara Hendricks amesema Ujerumani inaichukulia Rwanda kama mshiriki muhimu kwenye suala la hifadhi ya mazingira. Waziri huyo anafanya ziara ya siku mbili nchini Rwanda.

Sikiliza sauti 02:21

Ripoti ya Sylivanus Karemera kutoka Kigali

                                

Sauti na Vidio Kuhusu Mada