Waziri Mkuu wa Japan Yasuo Fukuda ajiuzulu | Matukio ya Kisiasa | DW | 02.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Waziri Mkuu wa Japan Yasuo Fukuda ajiuzulu

Japan iko katika harakati za kumtafuta waziri mkuu mpya kufuatia kujizulu ghafla kwa aliyekuwa waziri mkuu wake Yasuo Fukuda hapo jana.

Yasuo Fukuda ajiuzulu uwaziri mkuu wa Japan

Yasuo Fukuda ajiuzulu uwaziri mkuu wa Japan

Fukuda amepongezwa na mataifa mengi ya nje kama vile China ambayo imesema kuwa katika kipindi cha takriban mwaka mmoja tu wa kuwa madarakani alifanya mengi katika kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili.Lakini kwa ndani kujiuzulu kwake kuwasha moto wa kisiasa.


Kutoka Tokyo Japan Ali Attas ametuandalia taarifa ifuatayo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com