Waziri Mkuu wa Ivory Coast na mgombea wa urais Coulibaly afariki | Media Center | DW | 09.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Waziri Mkuu wa Ivory Coast na mgombea wa urais Coulibaly afariki

Waziri Mkuu wa Ivory Coast Amadou Gon Coulibaly, ambaye alikuwa mgombea wa chama tawala katika uchaguzi wa rais wa Oktoba 2020, amekufa akiwa na umri wa miaka 61.

Tazama vidio 02:05