1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Biashara ya samani za asili za Kizanzibari yaimarika

Mohammed Khelef16 Desemba 2015

Baada ya samani za kiasili visiwani Zanzibar kuhama majumbani na kuhamishiwa kwenye maeneo ya kitalii kama vile mikahawa na mahoteli, sasa watu wamepata muamko mpya wa kuthamini utamaduni wao na kuanza kuirejesha samani hiyo majumbani mwao.

https://p.dw.com/p/1HO9I