Wavuvi wanufaika kwa nishati ya jua Cape Verde | Afrika yasonga mbele | DW | 11.10.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Wavuvi wanufaika kwa nishati ya jua Cape Verde

Kijiji cha wavuvi nchini Cape Verde ambacho hakiwezi kumudu gharama za barafu za kuhifadhia samaki, wamewkeza katika jokofu la nishati ya jua kukabiliana na tatizo lao.

Tazama vidio 03:27
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Auxilia Matias anatuonesha jokofu. Yeye na wavuvi wengine wa Salamansa wana tatizo kubwa la kununua barafu kwa ajili ya kuhifadhia samaki wao.