Watu zaidi ya 350 wakamatwa Eastleigh, Nairobi kufuatia msako wa polisi | Masuala ya Jamii | DW | 07.12.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Watu zaidi ya 350 wakamatwa Eastleigh, Nairobi kufuatia msako wa polisi

Polisi inasema msako unanuiwa kuimarisha usalama huku msimu wa likizo ukikaribia nchini Kenya. Kenya imelitaka shirika la upelelezi la Marekani FBI, kusaidia uchunguzi wa mashambulio dhidi ya polisi

default

Kitongoji cha Eastleigh jijini Nairobi

Nchini Kenya jeshi la Polisi limeendelea na msako kuhusiana na shambulio la bomu dhidi ya gari ya polisi wiki iliyopita katika eneo la Eastleigh linalokaliwa na idadi akubwa ya raia wa nchi hiyo wenye asili ya kisomali, nje kidogo ya mji mkuu Nairobi.

Ili kufahamu zaidi juu ya maendeleo ya operesheni hiyo Aboubakar Liongo amezungumza na msemaji wa jeshi la polisi nchini Kenya, Eric Kiraithe.

Mwandishi:Aboubakary Liongo

Mhariri:Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com