1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu waukimbia mji wa Goma kwa hofu ya mripuko wa Volkano

Bruce Amani
28 Mei 2021

Mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo umebaki bila watu baada ya wakaazi kukimbia kufuatia onyo kuwa volkano ya Mlima Nyiragongo huenda ikaripuka tena. Mji huo umekuwa katika hali ya tahadhari baada ya kutokea mripuko wa volkano Jumamosi iliyopita na kusababisha vifo vya watu 32. Bruce Amani amezungumza na mwandishi wa DW huko Goma Benjamin Kasembe.

https://p.dw.com/p/3u6K1