Watu waliokamatwa kisiwani Pemba huenda wakakabiliwa na mashtaka ya uhaini | Matukio ya Kisiasa | DW | 16.05.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Watu waliokamatwa kisiwani Pemba huenda wakakabiliwa na mashtaka ya uhaini

Huenda watu kadhaa waliokamatwa na polisi jumapili iliopita Kisiwani Pemba na kusafirishwa hadi Unguja wakakabiliana na mashtaka ya uhaini .

Inasemekana kwamba watu hao ni kati ya wale waliosalimisha malalamiko ya maandishi kwa mwakilishi wa Umoja wa Mataifa mjini Dar es salaam kutaka kuweko mfumo wa serekali ya Shirikisho ya Zanzibar. Scholastica Mazula alizungumza na kamishina wa polisi wa Zanzibar, Khamis Mohammed Simba, na alikuwa na haya ya kusema.


Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com