1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu sita wauwawa kwenye mpaka wa Tanzania na Msumbiji

salma mkalibala14 Novemba 2019

Kufuatia mwendelezo wa matukio ya mauaji kwa raia wa Tanzania wanaoishi kwenye Mpaka wa Tanzania na Msumbiji, raia wa Tanzania wanaoishi kwenye Mkoa ulio mpakani wa Mtwara, wamevitaka vyombo vya ulinzi na usalama nchini humo kuboresha zaidi mazingira ya usalama wa mipaka na raia wanaoishi maeneo hayo. Sikiliza ripoti ya Salma Mkalibala

https://p.dw.com/p/3Sz8O