Watu kadhaa wapigwa risasi Zanzibar | Matukio ya Kisiasa | DW | 26.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Watu kadhaa wapigwa risasi Zanzibar

Watu kadhaa wamejeruhiwa na wengine kujeruhiwa vibaya na vyombo vya usalama visiwani Zanzibar. Salma Said alishuhudia watu kadhaa wakiwa hospitalini

Sikiliza sauti 03:42

Hali ya usalama Zanzibar

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com