Watu 300 wafa kwenye tetekemo la ardhi Iran | Media Center | DW | 13.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Watu 300 wafa kwenye tetekemo la ardhi Iran

Watu wapatao 300 wafa kwa tetemeko kubwa la ardhi nchini Iran, maandamano makubwa ya kumpinga rais wa Marekani yafanyika Manila, Ufilipino, wakati Donald Trump akiwasili nchini humo kwa mkutano wa kilele wa ASEAN na Somaliland leo wanachaguwa rais mpya wa jimbo la kaskazini mwa Somalia lililojitenga tangu mwaka 1991. Yote kwenye Papo kwa Papo leo 13 Novemba 2017.

Tazama vidio 02:25