1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto wanaorandaranda mitaani wapewa makao Kampala kuepusha corona

24 Aprili 2020

Janga la corona linapoendelea kuwa tatizo ulimwenguni kote, watoto wasiokuwa na makao wametambuliwa kuwa miongoni mwa walioko katika hatari kubwa ya kuambuklizwa au kuambukiza. Kutokana na hilo, jiji la Kampala limeanza hatua ya kuwapa watoto hao makao. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3bMh9