Watoto milioni 28 hawana makazi duniani sababu ya vita | Anza | DW | 07.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Watoto milioni 28 hawana makazi duniani sababu ya vita

UNICEF yatoa ripoti inayosema watoto milioni 28 hawana makazi duniani kutoka na mizozo ya vita. Ndege za kivita za Syria zashutumiwa kuangusha mabomu yaliyo na gesi ya Chlorine. Na mamlaka za Uturuki zimeuchukua kwa nguvu mkanda wa mahojiano ya DW na waziri wa michezo na vijana wa Uturuki.

Tazama vidio 01:43
Sasa moja kwa moja
dakika (0)