1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watanzania wazungumzia mgongano kati ya rais Samia na katibu mkuu

7 Aprili 2021

Wasikilize watanzania wakitoa maoni yao kuhusiana na mgongano uliojitokeza kati ya rais Samia Suluhu Hassan na katibu mkuu wa wizara ya habari Dr. Hassan Abbas kuhusu kuvifungulia vyombo vya habari.

https://p.dw.com/p/3rghB