1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watanzania wakumbuka kifo cha Mwalimu Nyerere

Saumu Mwasimba
18 Oktoba 2019

Afrika wiki hii inadurusu matukio yaliyoangaziwa barani humo-Miongoni mwao Watanzania wakumbuka kifo cha Muasisi wa nchi hiyo Mwalimu Julius Nyerere,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya azindua ujenzi wa barabara ya reli ya kisasa kutoka uwanja wa ndege wa Kimataifa kuelekea jiji la Nairobi. Na Tunisia yapata rais mpya.

https://p.dw.com/p/3RX3s