1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watanzania wachangamkia tiba ya "nyungu".

11 Mei 2020

Ni mwendo wa Kupiga Nyungu." Ndio lugha maarufu kwenye mitaa mingi nchini Tanzania, ikimaanisha tiba asilia ya kuufukiza mwili kwa mvuke wa majani na magome ya miti sambamba na mimea asilia. Ni tiba iliyo sahaulika kwa miaka mingi na kuibuka kwa virusi hatari vya corona. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3c19N