1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasiwasi katika zoezi la kutaka kuwavuwa silaha kwa nguvu huko Kongo wapiganaji wa Chama cha FDLR cha Rwanda

Miraji Othman14 Januari 2009

Ati ati juu ya mpango wa kutaka kuwavuwa silaha kwa nguvu huko Kongo wapiganaji wa Kinyarwanda wa Chama cha FDLR

https://p.dw.com/p/GYHv
Kambi ya wakimbizi wa kutokea Kongo ilioko Goma, Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: AP

Baadhi ya wananchi wa huko Mashariki mwa Kongo wameelezea wasiwasi kuhusu operesheni iliokusudiwa kufanywa ya kuwalazimisha waasi wa Kinyarwanda wa Chama cha FDLR wanaojihifadhi katika eneo hilo kuvuliwa silaha. Wasiwasi huo pia ulielezwa kwenye kiwanja cha ndege cha Goma alipowasili mjini humo waziri wa mambo ya ndani wa serekali kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Selestin Mbuyu. Mwandishi wetu wa huko Goma, John Kanyunyu, ametutumai ripoti ifuatayo: