Wasiliana nasi moja kwa moja, tutakujibu | Redio | DW | 23.09.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Redio

Wasiliana nasi moja kwa moja, tutakujibu

Wakati wowote tunakukaribisha kuwasiliana nasi moja kwa moja kupitia aidha anwani yetu ya posta ya hapa Bonn, Ujerumani au kupitia anwani za posta za baadhi ya mataifa ya Afrika, simu na au kupitia mtandao.

Wasiliana nasi moja kwa moja

Wasiliana nasi moja kwa moja

Tuandikie moja kwa moja hapa Ujerumani kupitia anwani ya posta:

Deutsche Welle
Idhaa ya Kiswahili
53110 Bonn
Ujerumani

Au tupigie simu kwa nambari +49 228 429-4148, tuandikie sms kupitia +49 17 32 91 17 90, tutumie faksi kwa namba +49 228 429-4915 au tuandikie kupitia kiswahili@dw.com

Kutokea nchi za Afrika ya Mashariki, tuandikie kupitia masanduku ya barua:
P.O.Box 70087 Dar-es-Salaam, Tanzania