Wasichana waolewe wakiwa na umri gani? | Masuala ya Jamii | DW | 02.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Wasichana waolewe wakiwa na umri gani?

Serikali ya Tanzania imekata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kutaka umri wa kuolewa uongezwe kutoka miaka 14 au 15 hadi miaka 18. Helen Kijo-Bisimba wa kituo cha sheria na haki za binadamu afafanua.

Sikiliza sauti 03:03

Mahojiano na Helen Kijo-Bisimba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com