Wasichana India wajihami dhidi ya wabakaji | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 25.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wasichana India wajihami dhidi ya wabakaji

Wasichana kadhaa mjini Delhi, India wanashirika madarasa ya kujifunza jinsi ya kujihami katika taifa ambalo lina rekodi mbaya ya visa vya dhuluma dhidi ya wanawake. Madarasa hayo yamepata umaarufu kufuatia kisa cha ubakaji 2012.

Tazama vidio 02:12