WASHINGTON: Waziri Rice akosoa mfumo wa demokrasia Urusi | Habari za Ulimwengu | DW | 11.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

WASHINGTON: Waziri Rice akosoa mfumo wa demokrasia Urusi

Siku chache kabla ya kufanya ziara yake ya Moscow,waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Condoleezza Rice ameeleza wasi wasi wake kuhusu mfumo wa demokrasia nchini Urusi.Wakati huo huo ameituhumu serikali ya Moscow kuwa juhudi za kufanya mageuzi zimerudi nyuma akisema kwa mfano, uhuru wa vyombo vya habari umewekewa vizingiti. Waziri Condoleezza Rice anatazamiwa kuizuru Urusi wiki ijayo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com