WASHINGTON: Wanachama wa Mafia waliajiriwa kumuua Rais Castro | Habari za Ulimwengu | DW | 27.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

WASHINGTON: Wanachama wa Mafia waliajiriwa kumuua Rais Castro

Shirika la upelelezi la Marekani-CIA,liliajiri wanachama wa Mafia,kujaribu kumuua Rais wa Cuba Fidel Castro.Hilo ni miongoni mwa yale yaliyofichuliwa na hati zilizowekwa bayana,kwenye tovuti ya CIA katika mtandao wa Internet.Hati hizo vile vile zinaeleza kwa umbali gani shirika hilo lilimpeleleza adui wake wa enzi ya Vita Baridi,Soviet Union ya zamani pamoja na hata waandishi wa habari na raia wa Kimarekani waliopinga vita vya Vietnam.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com