WASHINGTON: El-Marsi anasema Marekani iombe msamaha | Habari za Ulimwengu | DW | 30.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

WASHINGTON: El-Marsi anasema Marekani iombe msamaha

Mjerumani mwenye asili ya Kilebanon El -Masri anaitaka Marekani iombe msamaha kwa sababu ya kutekwa nyara na mawakala wa shirika la kijasusi la Marekani CIA.Baada ya kukutana na wajumbe wa Seneti ya Marekani mjini Washington,El-Masri alisema anataka kuelezwa kwanini alitendewa hivyo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com