WASHINGTON: Bibi Hillary Clinton aanza harakati kuelekea uchaguzi wa urais wa Marekani | Habari za Ulimwengu | DW | 21.01.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

WASHINGTON: Bibi Hillary Clinton aanza harakati kuelekea uchaguzi wa urais wa Marekani

Seneta wa chama cha Demokratic, Hillary Clinton, amepiga hatua ya kwanza katika harakati zake za kujaribu kuwa rais wa kwanza mwanamke kuchaguliwa nchini Marekani.

Kwenye ujumbe wa sauti ulioko katika ukurasa wake kwenye mtandao, Bi Hillary Clinton, mwenye umrí wa miaka hamsini na tisa, ametoa wito kwa wapiga kura kuanza majadiliano pamoja naye kuhusu maswala yanayolikumba taifa la Marekani.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com