Washindi wa tuzo ya Nobel ya Fasihi tangu 2000 | Mada zote | DW | 05.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Washindi wa tuzo ya Nobel ya Fasihi tangu 2000

Tuzo ya Nobel ya Fasihi ni ya hadhi ya juu kwa waandishi. Kuanzia mwandishi wa vichekesho wa Australia Elfriede Jelinek hadi mshindi wa kwanza wa Uturuki Orhan Pamuk, tunaangazia baadhi ya washindi hao tangu mwaka 2000.