1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waranti wa ICC dhidi ya Gaddafi na Umoja wa Afrika

6 Julai 2011

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC)imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa Libya, Muammar Gaddafi, kwa tuhuma za kushiriki uhalifu dhidi ya binaadamu nchini mwake, lakini Umoja wa Afrika unasita kushirikiana nayo.

https://p.dw.com/p/RXzC
Picha ya mwaka 2010 inayomuonesha Muammar Gaddafi na baadhi ya viongozi wa Afrika
Picha ya mwaka 2010 inayomuonesha Muammar Gaddafi na baadhi ya viongozi wa AfrikaPicha: picture-alliance/dpa

Katika makala hii ya Mbiu ya Mnyonge, Mohammed Dahman anaangazia umuhimu wa ushirikiano wa Umoja wa Afrika kwa ICC, ikiwa kweli Mahakama hiyo inataka kufanikiwa kwa hatua zake za kisheria dhidi ya Gaddafi na watu wake wa karibu.

Mtayarishaji: Mohammed Dahman

Mhariri: Othman Miraji