Wapinzani DRC wasusia mazungumzo ya uchaguzi | Matukio ya Afrika | DW | 13.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Wapinzani DRC wasusia mazungumzo ya uchaguzi

Makundi kadhaa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamekataa kushiriki mazungumzo ya kabla ya uchaguzi yaliyoitishwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Afrika, Edem Kodjo.

Sikiliza sauti 03:03
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Msikilize Emerie Damien Kalwira katika mahojiano

Mazungumzo hayo yatakayowashirikisha wadau wote ifikapo mwishoni mwa wiki hii yamepingwa vikali na wapinzani wengi. Sudi Mnette amezungumza na Emerie Damien Kalwira, kiongozi wa Umoja wa Wakongo wenye kupigia debe serikali ya mpito (CCT) na kwanza alitaka kujua kwa nini wanapinga kushiriki mazungumzo hayo kwa wakati huu.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com