Wapiganaji wa Mai Mai wajisalimisha Congo | Media Center | DW | 21.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wapiganaji wa Mai Mai wajisalimisha Congo

Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wapiganaji wa Mai-Mai wapatao mia moja wameamua kuweka chini silaha na kujisalimisha kwa serikali mbele ya tume ya Umoja wa Mataifa Monusco. Ripota wetu Mitima Delachance amendaa vidio hii.

Tazama vidio 02:38