Wapiganaji sita wa chama cha FNL PALIPEHUTU waachiwa huru Burundi | Matukio ya Kisiasa | DW | 13.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Wapiganaji sita wa chama cha FNL PALIPEHUTU waachiwa huru Burundi

Serikali ya Burundi imewaachia huru wapiganaji sita wa chama cha FNL PALIPEHUTU, ikiwa ni moja kati ya maridhiano ya kurejea katika serikali ya kitaifa nchini humo.

Hata hivyo, ujumbe wa chama hicho uliyofika huko Bujumbura umesema kuwa bado kuna wapiganaji wake wengine watatu hawajulikani walipo na chama hicho kinahofu kuwa huenda waluawa.

Kutoka Bujumbura Hamida Issa anaripoti zaidi.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com