Wapiga kura wa mara ya kwanza hawafurahii matokeo ya uchaguzi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 30.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wapiga kura wa mara ya kwanza hawafurahii matokeo ya uchaguzi

Vijana wengi nchini Ujerumani wanasema wamesikitishwa na matokeo ya uchaguzi. Ikiwa ingetegemewa tu wapiga kura wa mara ya kwanza na vijana, kama chama cha Kijani (Grüne) kingepata ushindi mkubwa na kama chama chenye nguvu na chama cha cha Kiliberali cha Free Democratic FDP kingechukua nafasi ya pili.

Tazama vidio 03:08