1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Wapiga kura hewa" kufutwa Kenya

11 Mei 2017

Tume ya uchaguzi IEBC imetangaza kuhakiki daftari la wapiga kura kabla ya uchaguzi huo utakaofanyika mwezi Agosti. Mwenyekiti wa Tume hiyo kitaifa, Wafula Chibukati, anafafanua kuhusu mchakato huo.

https://p.dw.com/p/2cmni
Uchaguzi Kenya
Picha: Reuters/M. Eshiwani