Wapatanishi wa kimataifa wataka kuleta suluhisho Zanzibar | Matukio ya Kisiasa | DW | 30.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Wapatanishi wa kimataifa wataka kuleta suluhisho Zanzibar

Wakati shinikizo la ndani na nje likizidi kuitaka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar kurejea kwenye utangazaji wa matokeo ya uchaguzi, jitihada za kuutatuwa mkwamo wa kisiasa unaoiandama Zanzibar zimeanza rasmi.

Sikiliza sauti 03:42

Sikiliza ripoti ya Mohammed Khelef kutoka Zanzibar

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com