Waokoaji wavipata vibox vyeusi katika ajli ya ndege ya Uturuki | Habari za Ulimwengu | DW | 01.12.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Waokoaji wavipata vibox vyeusi katika ajli ya ndege ya Uturuki

ISTANBUL.Mamlaka nchini Uturuki imesema kuwa waokoaji wamefanikiwa kuvipata vijiboksi vyeusi viwili vinavyorekodi mwenendo wa safari, baada ya ndege ya abiria kuanguka jana alfajiri karibu na mji wa Isparta kusini magharibi mwa nchi hiyo na kuua watu wote 57 waliyokuwemo.

Ndege hiyo iliyokuwa ikimilikiwa na shirika la ndege la Uturuki la Atlasjet ilianguka jana katika milima ikitoea Istanbul.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com