Wanyama wanaoshika rekodi | Mada zote | DW | 21.08.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wanyama wanaoshika rekodi

Baadhi ya wanyama wanakimbia kwa kasi ya ajabu, wengine wanapaa au kuruka juu sana au kuvumilia joto kubwa. Kwanini? Kwa sababu miili yao imejengwa tofauti na wanyama wengine.